Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Miaka ya nyuma kidogo ukiwa una angalia zile list za most likes ulikuwa unawaona wakongwe kama Nyani Ngabu,mshana jr,the boss ,rutashubanyuma nk lakini ujio wa Makapuku ukasafisha kabisa list hiyo ya wakongwe wakawa wanaongoza wao kwenye list ya most likes huku usukani ukishikiliwa na Bitoz akifatiwa na Jimena.
Utawala huu wa MAKAPUKU ulidumu muda mrefu sana mpaka pale member aitwae Jembekilo alipoanzisha thread yake ya kupeana likes .
Thread hii kwa kiasi kikubwa iliwasaidia wale wanyonge ambao wengi wao walikuwa hawajulikani humu jukwaani na walikuwa na likes chache sana.
Members kama Isis,Carbamezepine,Cole Williams,Mzee wa river kichwa kichafu ,usa river walikuwa hawajulikani kabisa humu jukwaani na walikuwa na likes ndogo sana zisizozidi hata elfu 5 lakini kupitia huu uzi wamefanikiwa kuvuna likes za kutosha takribani 100K+ na kuwabwaga mbali watani wao wa jadi makapuku .
Kwa sasa list ipo hivyo
1)Isis
2)Bitoz
3)Kichwa Kichafu
4)Shunie
5)Jimena
6)Shululu
7)Mzee wa Liver
8)Lee empire
9)Quigley
10)Rutashubanyuma
Mpaka sawa mchuano mkubwa unaendelea kati ya hawa watani wa jadi ili kunogesha zaidi Chit Chat Forum .
Na nyuzi zote mbili zina views 2millions na replies 200K+
Nina matumaini makubwa hawa members wa uzi maalum wa kupeana likes na wao hawataishia kupeana likes tu bali kugawana mgawanyo wa kazi ili kunogesha zaidi thread yao na mpaka sasa mwanadada numbisa amepewa kitengo cha kuleta picha zenye kustaajabisha na zisizotosha kuzitazama na tumai na wengine wanatafutiwa vitengo vyao vya kazi.
Pia nina imani kubwa hawataishia kupeana likes tu bali kujenga udugu wa kudumu na kusaidiana kwenye mambo mbalimbali kwenye maisha nje ya JF ,kualikana kwenye sherehe na kushiriki kikamilifu kwenye misiba .
Hongereni sana watani wa jadi.