Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thanks Madam.Welcome back
Hatujui.......humu unaongelea nn?
Hawatuwezi tena wameanza kupoteanaNawaona wakongwe wamekuja kujibu mapigo wameanzisha thread ya old school
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Niko poa mkuu niliwamisi sana.Salama kabisa Mkuu, mzima lakini??
mpuuze huyo... karibu CHIBUKU mr presedentHatujui.......
[emoji23] [emoji23] [emoji23] aje tu tutajikaza.shemeji/wifi yenu anataka kuja huku makapuku.. tafadhali pm sitaruhusu mtu
KAMA UNAMPENDA UTAMLINDA
Wavaa miwani hawawezi kutype fastafasta......hawawezi spid yetuHawatuwezi tena wameanza kupoteana
pkule pm marufuku mheshimiwa waziriTunamkaribisha kwa mikono miwili
Atauwa mpaka maiti.Kichaa kapewa rungu
mh nina mashaka na ukapuku wakoMie KAPUKU nahitaji mrembo na awe au akubali kuwa MAKAPUKU TEAM.
Aliye tayari aje PM ili tuuendeleze Ukapuku wetu.
Watawezaje vidole vimeshakomaa!!Wavaa miwani hawawezi kutype fastafasta......hawawezi spid yetu
mmmmhh!!!!Poa shemeji... Jichange basi
Ni kweli kabisa, japo sikuwa na maana mbaya.Tumekuja kwa umoja tutoke kwa umoja. Tutambuane kwa ukapuku wetu
Mkuu acha uchoyo, akija hapa ni wetu sote.pkule pm marufuku mheshimiwa waziri
Hahahahaaa hivi maiti akifa ataitwajeAtauwa mpaka maiti.
Usijali mkuu tulikua tuna kumbushana tu...Ni kweli kabisa, japo sikuwa na maana mbaya.
Samahani sana Wakuu.