EMMYGUY
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 11,099
- 25,347
Kama kawaida sie tunajichanganya kote kote.Njema sana shughuri za kulijenga taifa ndo zimetuadimisha
Karibu tena kwa mara nyingine.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama kawaida sie tunajichanganya kote kote.Njema sana shughuri za kulijenga taifa ndo zimetuadimisha
Sana hii inazihirisha jins gani wakogwe walikua wanafukia mawazo na mitizamo mpya ya wageni kwa kuhodhi jukwaa na majibu ya shomboMakapuku tunatisha
Sisi ndiyo tunanogesha post zao lakini wanatudharauNimepita huko naona post haifikishi coments hata 200 ni sheeeda
tupambane tu vitafika!Bado posts ngapi replies zisome 2k??
Zitafika muda si mrefutupambane tu vitafika!
Wagumu kuomba radhi wamejikausha hawafuati nyayo za mshana jrSisi ndiyo tunanogesha post zao lakini wanatudharau
Sawa mkuu tupo pamojaKama kawaida sie tunajichanganya kote kote.
Karibu tena kwa mara nyingine.
Nimemuona huyo
Imeshasoma 2k mkuu jimena tunatisha makapuku forumtupambane tu vitafika!
Tarehe 11/4/2016 jumatatuahàaa! hivi leo ni siku gani?
Nzuri ndugu sijui wewehabari za tokea tulipoachana jana mpendwa?
na umoja tuliouonesha hata maadmin wanashangaaPamoja tutafika mkuu
Paka ifike 3kUmu ndani kuna watu wagumu.. Hata mapumziko wengine amuendi
Mimi wakwanza mkuuUmu ndani kuna watu wagumu.. Hata mapumziko wengine amuendi
Aisee kweli kazi tunayoPaka ifike 3k
Sio ma adm tu hata walio karibu naww lazima washangae.. Mtu muda wote upo busy na Ku typena umoja tuliouonesha hata maadmin wanashangaa