HOPECOMFORT
JF-Expert Member
- Feb 25, 2012
- 3,921
- 6,646
Aswaa. Lala salamaNafikiri muda umewadia.
Okay,upumzike kwa amaniJamani... Tunaambiwa tukiomba tukumbuke kushukuru pia...asanteni wakuu.. Nimevuka malengo kwa leo. Mlale salama wakulala mapema... Wale w late night mkesha mwema... Kesho nitawafanyia wake up call woote. G9t
Mkuu wakati iliongea points....anyway waache wataelewa taratibuuuNilishawazoea tangu zamani walikuwa full dharau tafuta thread zangu kwenye post # 3 chini kabisa pale kuna link humo utakuta link za thread zangu zote full madharau
.......,......................................
Naww pia mkuu.. Rest in peace in advanceOkay,upumzike kwa amani
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Duh.Naww pia mkuu.. Rest in peace in advance
Hapo ukirudi kuangalia utakuta wameiba moja
Wivu huo unawasumbuaHapo ukirudi kuangalia utakuta wameiba moja
Tupoovp wakubwa mpooo
.......platun kamanda sniper shooter napita
Ka kaa kidogo.....vp wakubwa mpooo
.......platun kamanda sniper shooter napita
mkuu unakaa porini kabisa nini mana naona mtandao unasoma 'E'
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] dah,binadamu wabaya sana.mkuu unakaa porini kabisa nini mana naona mtandao unasoma 'E'
Yani unamaanisha nini!Wakuu amani iwe kwenu, mkianza kujadili changamoto kapuku anazokumbana nazo hapa jamvini mni-beep tafadhali ...
Umetisha sana. Una likes nyingi kuliko posts aisee hahahah[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] dah,binadamu wabaya sana.
Changamoto ambazo kapuku anakumbana nazo hapa JF..Yani unamaanisha nini!