Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,433
- 56,810
[emoji3] [emoji3] [emoji3] maajabu ya musa.Umetisha sana. Una likes nyingi kuliko posts aisee hahahah
Na bado zinazidi kuja tu.[emoji102] [emoji102][emoji3] [emoji3] [emoji3] maajabu ya musa.
Mbona tumediscuss nyingi tu,wewe ulikuwa wap?Changamoto ambazo kapuku anakumbana nazo hapa JF..
Nazisubiri kwa hamu,likes tamu sana.Na bado zinazidi kuja tu.[emoji102] [emoji102]
Team Makapuku katika ubora wetuNazisubiri kwa hamu,likes tamu sana.
Hii kitu inatia raha sana.Team Makapuku katika ubora wetu
Tena sana.Hii kitu inatia raha sana.
mkuu unakaa porini kabisa nini mana naona mtandao unasoma 'E'
hyo inaonekana umechora kabisa [emoji124] [emoji124]
Na hapo unasomaje?
[emoji2] [emoji2]
Kama nilivyochora mara ya kwanzahyo inaonekana umechora kabisa [emoji124] [emoji124]
Naona makapuku wote chali,kweli usingizi hauna baunsa.
Hahaha,we jamaa umeniacha hoi.hyo inaonekana umechora kabisa [emoji124] [emoji124]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Kama nilivyochora mara ya kwanza
Mimi leo natoboa ozone.Ehee..... Nakuona bado uko fit
Nakuona ndugu, unakomaa[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Rejea page za mwanzoni zina malalamiko ya Makapuku soma mpaka pale mods walipokuja kutujibuWakuu amani iwe kwenu, mkianza kujadili changamoto kapuku anazokumbana nazo hapa jamvini mni-beep tafadhali ...