Thomas JM
JF-Expert Member
- Feb 10, 2012
- 215
- 225
Magu anabana sana mkuu ndo kidogo nakua busy na ujenzi wa Taifa ila tuko pamojaMkuu usipotee tena,utafutika kwenye ramani ya makapuku.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Magu anabana sana mkuu ndo kidogo nakua busy na ujenzi wa Taifa ila tuko pamojaMkuu usipotee tena,utafutika kwenye ramani ya makapuku.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] sawa mkuu,piga kazi usijekuwa jipu.Magu anabana sana mkuu ndo kidogo nakua busy na ujenzi wa Taifa ila tuko pamoja
Swalama mkuu,mzima weye.
Mkuu nimeamka poa kabisa,niko tayari kwa kulijenga Taifa.Mi mzima kabisa sijui wewe
mimi jana nilitekwa jamani ndio nimeachiwa muda huu.... Vipi mmeamkaje hapa ?Kapukuu amkeni kulijenga taifaa...
mimi jana nilitekwa jamani ndio nimeachiwa muda huu.... Vipi mmeamkaje hapa ?
Pole asee...Usiponiona ujue nimeshafanywa kitoweo ujue...hawa jamaa hawaachi hata kucha na nywele eti.
Nusu page zimekukimbia kama kilomita 50 hivi.Humu ukipitisha nusu saa unakuta page zipo zaid ya tano. kweli makapuku hawakamatiki
Wazo lilikuwagepo japo alikoswa namna ya kuliwakilisha peke yake, ikambidi ashirikishe wanabodi wengine na kuja na muungano wa wazo moja. MAKAPUKU TEAM Pamoja we can.Nafasi hizi ni nadra sana... Sijui mwenye ili wazo alikuwaga wapi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ungenitaja kwenye kapukuzi ungekomaga.
Maelekezo yapo post # 3Ungenitaja kwenye kapukuzi ungekomaga.
Asante kwa niaba ya team nzima.Kila jambo huja kwa wakati sahihi na muda muafaka kama huu
Pongez kwa muanzishaj wa sredi hii
Mkuu, naomba uchukue JET ya kukodi ikuwahishe.Tuonane kesho makapuku wenzangu...itabidi nikodi ndege maana itawakuta mbali sana...hii ni kasi mpya ya Makapuku
Nimefika mpendwa,nimekuja mbio za farasii.Mkuu, naomba uchukue JET ya kukodi ikuwahishe.
Jitahidi Mkuu.Kwa spid hii lazima watu punz zikate mm najivuta vuta vuta kama nipo kwenye marathon nikitaka kukaribia mwisho naongeza spid hakuna wa kunikuta
Kama shem wetu.lizziebettie natambua uwepo wako