Makapuku Forum

Umedamka swalama makapuku!!

TANGAZO
Nimeonelea nitoe taarifa humu humu kapukuni's thread. Ninahitaji lorries 14 zenye uwezo wa kubeba mzigo kuanzia tani 30 na kuendelea,ziwe na kichanja/kisahani ziwe idadi ya kuanzia tano kwa usajili mmoja au zote kwa usajili mmoja. Mwenyenayo tuwasiliane kupitia e-mail hapo chini au anipm tufanye kazi.

Kwa mawasiliano zaidi:-

makondeson@gmail.com
au niPM
 
Huu ndo uzuri wa makapuku, huyu kapuku anatoa fursa kwa mwenye hayo malori
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…