HOPECOMFORT
JF-Expert Member
- Feb 25, 2012
- 3,921
- 6,646
Nipe password yako nikusaidie Ku postNikiondoka nitawanisi.
Veery soonTuombe mungu zitafika post 3k
Andaa visindikizi vya party mambo yame kwivaaNa mimi ngoja niweke historia ya kushuhudia posts 3k.
Mdogomdogo tutafika muda sio mrefuMaana hakuna namna sasa[emoji2]
Labda hiyo post ya 3k itakuwa ya kwangu
Anza kutumia wakati uliopo wakati ujao upo mbali sanaMdogomdogo tutafika muda sio mrefu
Andaa visindikizi vya party mambo yame kwivaa