duh mkuu kwa hii lunch ntakua nakuachia mke wangu umpigishe story nikiingia shift ya usiku [emoji1] [emoji1]Wakuu karibuni lunch
Ufanye hivyo, wifi atakuwa anaboreka akiwa peke yake [emoji1] [emoji1]duh mkuu kwa hii lunch ntakua nakuachia mke wangu umpigishe story nikiingia shift ya usiku [emoji1] [emoji1]
Mbona maji hayapo?Hii ni lunch mkuu,tunakula kwa afya
Mmmh we acha kujitesa, ile inafaa kuwa snack sio main courseHii ni lunch mkuu,tunakula kwa afya
Mwenzio ndo kamaliza hapo [emoji14] [emoji14]Mmmh we acha kujitesa, ile inafaa kuwa snack sio main course
Nani akutake radhi na wakati wee mwenyewe ndo una matatizo.embu nitake radhi.
Halafu watunyime zawadiKweli makapuku mmeamua.
Kwa jinsi huu uzi unavyokimbia, lazima uvunje rekodi hapa JF.
Basi yupo wangu peke yangu, we nenda tu kwa wanaoweza hayo
Iko zaidi ya kuvunja rekodi, hapa tunatengeneza histori.Kweli makapuku mmeamua.
Kwa jinsi huu uzi unavyokimbia, lazima uvunje rekodi hapa JF.
Anataka kunizeesha tu mtoto wa watuHahaha,mkuu wewe si tayar una mke.
Kumbe kuna kazawadiHalafu watunyime zawadi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nami namwambia kuwa wewe sio mwaminifu kwakenamwambia asikupe mpaka uje kwangu
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji31] [emoji31] [emoji31]