Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,433
- 56,810
Boss hana shida.Upo kijana... Warning letter umepata au una ukaribu na boss
Hizi ni salaamu kwa wakwasi wa JF. Yaani utangulizi kiini cha insha yenyewe bado.Umeonae...mimi ninaomba poo jameni...
Poaachana nae lakini nilazima uwakemee wanachama wako.... Hiyo ni tahadhali na lazima hii sheria ifuatwe. huwezi kumchekee mtu anayewatusi
Karibu mkuuHii imetulia sana, shujaa ni yule anayeweza kutumia siraha au mbinu za adui kubadilisha mwelekeo. Hivyo kutumia jina la Kapuku ili kuwafunika au kuwafanya wanaojiita wakongwe dhalili ni sahihi. Pamoja na kuwa mimi ni wa zamani kidogo JF lakini najiunga Timu Kapuku Udhalilishaji na kujikweza mwiko.
Shukurani nishakaribia Th Name Kanipokea kwa mikono miwili.Karibu mkuu
Maelezo yapo post # 3
Mafaza WA Jf walizidi dharau
.........................................
Karibu tenaShukurani nishakaribia Th Name Kanipokea kwa mikono miwili.
Asante mkuu tupo pamoja.Karibu tena
Hiyo haikubaliki kabisa, mtu hawezi kuja kuleta dharau hapa maeneo yetu ya kujidai kisha mtu akamchukulia poa, ntafanya hivyoachana nae lakini nilazima uwakemee wanachama wako.... Hiyo ni tahadhali na lazima hii sheria ifuatwe. huwezi kumchekee mtu anayewatusi
Big up sana mkuu GITWA.Hii imetulia sana, shujaa ni yule anayeweza kutumia siraha au mbinu za adui kubadilisha mwelekeo. Hivyo kutumia jina la Kapuku ili kuwafunika au kuwafanya wanaojiita wakongwe dhalili ni sahihi. Pamoja na kuwa mimi ni wa zamani kidogo JF lakini najiunga Timu Kapuku Udhalilishaji na kujikweza mwiko.
Bado ndo kina nani[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] ni makapuku pia??ushawahi kumsoma WILLY GAMBA au JORAM KIANGO
Mkuu msamehe tafadhali tunakuomba.Hiyo haikubaliki kabisa, mtu hawezi kuja kuleta dharau hapa maeneo yetu ya kujidai kisha mtu akamchukulia poa, ntafanya hivyo
Mkuu vipiyeah yeah
Hahaha,kumbe wewe pia unafika huku
Hawa ni mastaa wa riwaya za kipelelezi za kitanzaniaBado ndo kina nani[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] ni makapuku pia??
nakusanya likes tu mkuu usijaliMkuu vipi
Haya mkuu,ila angalia kuna wezi humu.nakusanya likes tu mkuu usijali
Karibu sana