...binamu yako akupendaye habari yangu ni nzuri sana na ninafurahi kuulizwa khali nawe. Naamini uko poa kabisa na wikend popote ilipoanzia ilikuwa poaHabari yako Binamu?
Good morning P, habari za Jumapili?
๐ Espy kwaio umesusa kuja kasalimu ndugu zako?Good morning P, habari za Jumapili?
Sina nauli ndugu zangu, fanyeni wepesi basi๐๐๐ Espy kwaio umesusa kuja kasalimu ndugu zako?
Asante sana binamu yangu...mara zote unajua ni nzuri kuwepo hapa sababu wewe upo aunt yangu.
Jukwaa hili linakuwa tamu upande wa magazeti na je wajua kwa sababu wewe hujawahi kutuangusha kwa kelele ama kimya kimya
Morning P umeamkaje
Auntie yangu nimekumiss mnoooGood morning P, habari za Jumapili?
Auntie si unajua uzi unapoteaga๐๐๐Auntie yangu nimekumiss mnooo
[emoji23][emoji23][emoji23] Huu uzi unapoteaga kwako tu auntie fanya kunijia tu hakuna namnaAuntie si unajua uzi unapoteaga[emoji23][emoji23][emoji23]
Miss you more!
Unakuja au nikuijie?
Si unaona sasa๐๐๐๐[emoji23][emoji23][emoji23] Huu uzi unapoteaga kwako tu auntie fanya kunijia tu hakuna namna
[emoji23] Angalia pm yko nishafanya jambo Atoto
Nimekuwire na 100k ya nauli hope itatosha au niongeze espy.Huh!! Sio mpesa๐๐๐
Haitoshi๐Nimekuwire na 100k ya nauli hope itatosha au niongeze espy.