Asante kwa salamu, huwa nakuwa wa mwisho kujua mengi humu, hivyo salam ya asubuhi najibu muda huu.
Unaimalizia leo jumatatu? πTuwe na wiki yenye mafanikio kila mmoja kwa khali yake. Ndugu yenu ndiyo naimalizia weekend yangu
Ndio unaamka muda hu kweli? Umezidisha uvivuNyumbani πππ
Nimeamka toka saa 11 alfajiri bwana.Ndio unaamka muda hu kweli? Umezidisha uvivu