[emoji3598] UZI: Picha linaanza Neymar na Richarlson ni marafiki sana alafu utani ni mwingi but cha ajabu na cha kushangaza Neymar haamini kipaji cha Richarlson kabisa (Neymar anaamini Richarlson sio mchezaji ni muhuni tu).
.
Kama unakumbuka kombe la dunia lililopita (la mjini Qatar) Richarlson alibahatika kufunga goli kali against Serbia, kama unavyojua ushangiliaji wa Richarlson huwa ni fujo nyingi miksa kuvua jersey.
.
Issue sio kuvua Jersey issue ni kwamba kwenye mgongo wa Richarlson kuna tattoo kubwa 3 zenye sura za watu; sura ya kwanza ni Ronaldo de Lima,sura ya pili Richarlson mwenyewe, sura ya tatu ni ya mwanae Neymar.
.
Kwa kipindi chote iyo Neymar hakujua kuwa mwanae amechora tattoo alafu kuna sura yake,baada ya World cup Neymar sindo akasanuka bana!
.
Kama unavyojua mtu akichora tattoo alafu akaweka picha yako ni ishara tosha kuwa ana appreciate uwezo wako na wewe ambae umechorwa lazima U'appreciate kilichofanyika.
.
Baada siku kadhaa mbele Neymar akaamua kumtumia Richarlson £26,000 na kumwambia Richarlson "oya naomba ufute tattoo ya sura yangu kwenye mgongo wako na nimekutumia hela kabisa".
.
Kwa kifupi Neymar does not rate Richarlson hata kiduchu. Mpaka muda huu hatujui kama tattoo ilifutwa au laa!. Ila kwa akili za Richarlson hela kashaila