damtanzania
JF-Expert Member
- Aug 31, 2014
- 752
- 1,464
Uzi mzuri, makapuku wazuri, roho zao nzuri, tutake nini tena, like za kumwagaa. [emoji2] [emoji111]Yaani circle inavyozunguka utafikiri ule mchezo waufanyao wa "Wa mwisho ndo Mshindi".
Nimeufurahia sana.
Atakuwa ameweka heshima kubwa sana.Rudi nyuma mpaka page ya kwanza utembeze likes kote na itakuwa poa sana
Muda ndio huu makapuku tupambane makapuku Mimi mwenyewe nipo hapa miaka ila sasa kitaeleweka makapukuNi kweli kabisa. Tukomae mpaka kieleweke aisee
Hapo sasa umenena, ngoja nikakufollowyaani wewe ndo usiseme, unajua hawa wanaojiita wakongwe ndo walisababisha kina kidikudi kupotea
Kuna watu wengi sana wanahitaji kuwa TEAM MAKAPUKU.Bado sana....pitia posts kuanzia uliposepa ...
Waje tu tutawapokea!Kuna watu wengi sana wanahitaji kuwa TEAM MAKAPUKU.
Muda ndio huu makapuku tupambane makapuku Mimi mwenyewe nipo hapa miaka ila sasa kitaeleweka makapukuNi kweli kabisa. Tukomae mpaka kieleweke aisee
mPM Th NameBitoz me hunioni huku
Ndo manakeMuda ndio huu makapuku tupambane makapuku Mimi mwenyewe nipo hapa miaka ila sasa kitaeleweka makapuku
Kazi ya Th NameKuna watu wengi sana wanahitaji kuwa TEAM MAKAPUKU.
fanya hivyo mamaanguHapo sasa umenena, ngoja nikakufollow
Na leo ni ofa bab kubwa kuwahi kutokea kwa uzi kama huu."Like" bidhaa muhimu sana kwa team makapuku
Kweli inabidi tuelewane ni nani haswa anastahili kuwa Kapuku.Kazi ya Th Name
But tutadiscuss kigezo cha mwaka gani ni wa mwisho kwa mtu kuwa KAPUKU....aliyojoin JF
Jibu likopatikana nitaweka pale post #3, iwe rahisi kuonwaKweli inabidi tuelewane ni nani haswa anastahili kuwa Kapuku.
Subiri kwanza tuunde tume ili tujiridhishe kama unaaminika!kwahiyo hiko cheo cha muweka hazina nakipata au sikipati mr prezidaa Bitoz nyangema