damtanzania
JF-Expert Member
- Aug 31, 2014
- 752
- 1,464
Uzi mzuri, makapuku wazuri, roho zao nzuri, tutake nini tena, like za kumwagaa. [emoji2] [emoji111]Yaani circle inavyozunguka utafikiri ule mchezo waufanyao wa "Wa mwisho ndo Mshindi".
Nimeufurahia sana.