Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Usife tena kabla hujanitumia hela😂😂Kwa hii mihangaiko ya Duniani...
Sijui ni mara ngapi hata..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usife tena kabla hujanitumia hela😂😂Kwa hii mihangaiko ya Duniani...
Sijui ni mara ngapi hata..
Hili la tangu tanu unasema jipya!! Limeshajifia wako wanajikongoja😂😂😂😂Ila penzi likiwa jipya jipya lina heka heka jamani[emoji1787]
Kwani hili ni jipya au lilikuwa likizo tuIla penzi likiwa jipya jipya lina heka heka jamani[emoji1787]
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Usife tena kabla hujanitumia hela[emoji23][emoji23]
[emoji1787] Ila auntie yangu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Comments ni nyingi sana bandugu..
Kitu gani kimetokea.
[emoji1787] Ndio auntie asiyependa aandamane[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimefika Shem Darling...
Naambiwa tumerudisha majeshi kwa kasi ya SGR..
Naaam auntie acha tuenjoy tu hakuna namnaJi'enjoy tu Shem Darling...
"Tunaishi mara moja, Tunakufa mara nyingi"
Jamanii tunaishi mara ngapi eti baby [emoji1787]Sisi hatuishi mara moja...
Ndio auntie ukija tutakuwa na auntie makiiSasa mbona hivi jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787] Niachieni mume wanguKikuu katokea[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787]Kwa hii mihangaiko ya Duniani...
Sijui ni mara ngapi hata..
[emoji1787] Auntie hatuna upya sisiIla penzi likiwa jipya jipya lina heka heka jamani[emoji1787]
[emoji1787] Tuacheni jamaniiiHili la tangu tanu unasema jipya!! Limeshajifia wako wanajikongoja[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787]Kwani hili ni jipya au lilikuwa likizo tu
Naptaga shid kukupata mrembo wang , Nilikuona unapita juu juu, Nasema ntakupata sehemu gani nikakumbuka huu mtaa wako hukosekani. Shida hili jukwaa jina lake sijawah kulipenda na sikutaka hata Comment yangu ikae humu[emoji1787] Ndio auntie asiyependa aandamane
Jamanii hili jina tu wala lisikutishe mjeda nimefurahi sana kukuonaNaptaga shid kukupata mrembo wang , Nilikuona unapita juu juu, Nasema ntakupata sehemu gani nikakumbuka huu mtaa wako hukosekani. Shida hili jukwaa jina lake sijawah kulipenda na sikutaka hata Comment yangu ikae humu
Tupo tupo aiseee. Salam tele kwa SakayoJamanii hili jina tu wala lisikutishe mjeda nimefurahi sana kukuona
Nitumieni nauliii😂😂Ndio auntie ukija tutakuwa na auntie makii