Makapuku Forum

[emoji1787][emoji1787] Halafu kweliii unajua kuwa na watu wa hovyohvyo mnakosa vya kuongea mnaongea uwongo sasa mimi na auntie Makiwendo tunaanzaje kuongea mambo ya hovyo au kujadili watu
Eti jamani!!!!
Na Mke wa mtu su su sumu atacheza nani?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sitaki kukumbuka nilivyocheka...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…