Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Ifoni ya kikuu🤣🤣🤣Watu wa iPhone mnajikutaga...
Mkipiga picha ni mnapost, hakuna kujificha ficha[emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ifoni ya kikuu🤣🤣🤣Watu wa iPhone mnajikutaga...
Mkipiga picha ni mnapost, hakuna kujificha ficha[emoji1787]
Basi tutaenda hilo chimbo umeacha pombe au umepumzika auntie usiniambie umeokokaHiyo weka tick...Nitakupeleka Chimbo moja zuri sana Auntie..kuna nyama za kila aina...
Ila Pombe ndugu yako nimeacha[emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] daaaah umenichoka kweli[emoji1787][emoji1787] Mwenyewe najiulizaga bora abaki hivihivi
[emoji1787]Ifoni ya kikuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Eti jamani!!!![emoji1787][emoji1787] Halafu kweliii unajua kuwa na watu wa hovyohvyo mnakosa vya kuongea mnaongea uwongo sasa mimi na auntie Makiwendo tunaanzaje kuongea mambo ya hovyo au kujadili watu
Sasa ukiwa mnywaji utakuwaje jamani utatupa shida baki hivihivi babe[emoji1787][emoji1787][emoji1787] daaaah umenichoka kweli
Si watu vile wameamua tuishi...[emoji1787][emoji1787] Kwamba ndio umekuwa katili hivyo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sasa pochi masharti na vigezo kuzingatiwa tuonane tukiwa na wewe nimpe
Ndiyo yapi Shem?[emoji28][emoji28][emoji28] maeneo yako pendwa
[emoji1787] Hii kichwa yangu iache tu auntie nikishapiga vitu vyangu huwa sijui najikuta nani jamaniEti jamani!!!!
Na Mke wa mtu su su sumu atacheza nani?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sitaki kukumbuka nilivyocheka...
[emoji1787][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Kwahiyo mimi nina roho ngumu!!!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ifoni ya kikuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimeacha kabisa kabisa[emoji23]Basi tutaenda hilo chimbo umeacha pombe au umepumzika auntie usiniambie umeokoka
Naja vere suni, andaa tu mikoba yangu na hela ya mishkaki🤣🤣Nilikwambia ukija dar panga tuonane na auntie maki tutakutana kijiwe mishikaki
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hii kichwa yangu iache tu auntie nikishapiga vitu vyangu huwa sijui najikuta nani jamani
Umeamua ujitajie mwenyewe vitu unapenda🤣🤣🤣[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] atasema napenda mbunyeee huyo msuka dread
Si ndio kwetu hapa🤣🤣🤣Kale kwenu[emoji23].. hapa Story tu..
Ni wivu tu!Aaah wapiii toka lini