Makapuku Forum

Ndugu zangu habarini za asubuhi.

Obe ndugu yangu, nimedamka nasikia TUMBWISA ya awilo longomba.. nikakumbuka enzi zetu kigamboni pale ukishalewa unavua shati unapanda juu ya meza unacheza na kupiga kelele kama awilo.😂🤣🤣
Ha ahahahhahah, vijana hawajui kabisa hizi mambo, juzi nimesikia wimbo unasema nataka kulewa napanda juu ya meza, lol! Anapanda afu inakuwaje!?
Enzi zangu kabla sijapata hiki kitambi elekezi unapanda juu unapiga kelele afu unachana Tshirt ya fubu

Ukumbi CCM hapo achana na Kakala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…