Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Majinjah usinitafute la rohoni tafadhali๐๐๐๐๐๐๐๐๐Tumepokea Mzee mwenzangu...
Ila nikuambie au watakuambia?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Majinjah usinitafute la rohoni tafadhali๐๐๐๐๐๐๐๐๐Tumepokea Mzee mwenzangu...
Ila nikuambie au watakuambia?
Marahabaa!Shikamoo mrembooo
Basi na aifoni zenu za kikuu mnajiona mmeyapatiaaaa๐๐๐Shunie hizo level za tecno ashazivuka ...@atoto ndo zake
Changamoto๐๐๐Ndio wamekuachia leo
Unatumia app?Poleni sana, wengine tunapeta tu
Ila hii avata mbona kama inanicheka!! Hebu itoe.Hongereni Swahiba
Yes ,Rafiki,hilo tatizo sijakutana naloUnatumia app?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ila hii avata mbona kama inanicheka!! Hebu itoe.
....ninaipenda sana , ukiitoa kwa kushawishiwa na mtu nitaipenda pia hiyo utakayoweka. Ndiyo maisha niliyoyachagua hadi nitenguliwe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Siitoi wala nini..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ahsante Binamu......ninaipenda sana , ukiitoa kwa kushawishiwa na mtu nitaipenda pia hiyo utakayoweka. Ndiyo maisha niliyoyachagua hadi nitenguliwe
Asante we mzeePoleni sana, wengine tunapeta tu
Yaani auntieTunapata usumbufu mkubwa sana Auntie..
Lakini si yamesomeka auntie [emoji23][emoji23]Kazi Iendelee Auntie...
[emoji23][emoji23]
Yaani mwenyewe siipendii [emoji23] nashindwa kuizoea nilimuuliza auntie huyo ni naniIla hii avata mbona kama inanicheka!! Hebu itoe.
[emoji23][emoji23] Nimecheka kwa sauti....ninaipenda sana , ukiitoa kwa kushawishiwa na mtu nitaipenda pia hiyo utakayoweka. Ndiyo maisha niliyoyachagua hadi nitenguliwe
Mmmh! Version ipi?Yes ,Rafiki,hilo tatizo sijakutana nalo
Imekaa kimkakati sana ๐๐๐[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Siitoi wala nini..
Mie sijuiMmmh! Version ipi?
๐๐๐๐๐Yaani mwenyewe siipendii [emoji23] nashindwa kuizoea nilimuuliza auntie huyo ni nani