Basi nitabadili Auntie[emoji23][emoji23] Sisi hatupendi
Hebu asitutishe😂😂😂[emoji23] Eti jamaniii yaani nilijua me hiyo avatar ndio inanikera
Haki hii avata inanicheka😂😂😂[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Tulia..
Yaani imekaa kama vile unaniambia "dogo tulia nakutumia hela" huku unajua hutumi🙆🙆🙆[emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28][emoji28]
Usiumie shunie akee, furahia nami nduguyo nimepata wa kuniliwaza.Alooooh tunaoumia ni kina sie [emoji23][emoji23]
Hizo ni enzi zetu sisi, enzi za SANTURIHa ahahahhahah, vijana hawajui kabisa hizi mambo, juzi nimesikia wimbo unasema nataka kulewa napanda juu ya meza, lol! Anapanda afu inakuwaje!?
Enzi zangu kabla sijapata hiki kitambi elekezi unapanda juu unapiga kelele afu unachana Tshirt ya fubu
Ukumbi CCM hapo achana na Kakala
Uhali gani mzee mwenzangu?Abeee ndugu yangu..
Niambie mzee mwenzangu, usiponiambia wewe ataniambia nani mimi mzee mwenzangu?😂😂😂😂😂😂Tumepokea Mzee mwenzangu...
Ila nikuambie au watakuambia?
Kuusaka ugali mamsapu, siunajua kuna suala la VACATION.. lazima tuutunishe mfuko.Kwani babe ulikuwa wapi?
🤔🤔🤔🤔🤔Kuusaka ugali mamsapu, siunajua kuna suala la VACATION.. lazima tuutunishe mfuko.
Nini mamsapu?🤔🤔🤔🤔🤔
Nawaza tu!! Sio kamba nafungwa kweli?Nini mamsapu?
Pingu za maisha zinatutosha, kuna haja ya kufungana makamba kweli?Nawaza tu!! Sio kamba nafungwa kweli?
Khaaah!!Pingu za maisha zinatutosha, kuna haja ya kufungana makamba kweli?
Nini tena?!Khaaah!!
Nothing babe, nipo tu naiwaza vacation.Nini tena?!
Usiiwazie, ifanyie imagination, na huko kazi itendeke vizuri, tukirudi tayari KITUMBO NDIINothing babe, nipo tu naiwaza vacation.
Kitumbo tena🙆🙆🙆Usiiwazie, ifanyie imagination, na huko kazi itendeke vizuri, tukirudi tayari KITUMBO NDII
Sasa we hutaki 🤰🤱?Kitumbo tena🙆🙆🙆