Shemela asante sana kwa magazeti ya leoMagazeti ya leo November 1, 2023.View attachment 2799754
Asante shemela kwa kushukuru
Binamu nimekumissView attachment 2800851
...... shululu ni jambo zuri kukuona tena.
Ndugu yako nipo na nilipo ndiyo pale pale .
November ndiyo hii hapa, mwezi pekee unaoanza na NO. Basi No iwe kwa kila kwazo kwako mdau mwema wa jukwaa hili.
Na ni mwezi ambao mtu mahususi anaufurahia, tufurahi naye
Obe
Safarini Mahuta
.....asante binamu aunt yangu. Nimekumiss pia, hii dunia ndogo sana kuna mjinga aliniuzia saa ya mazoezi ambayo haina bluutusiBinamu nimekumiss
Hahahha ila binamu.....asante binamu aunt yangu. Nimekumiss pia, hii dunia ndogo sana kuna mjinga aliniuzia saa ya mazoezi ambayo haina bluutusi