Makapuku Forum

My wiiiii bora msukule uliyemzoea kuliko upate mpya [emoji1787]
🤣 🤣🤣
Aikoooh! Wii Umenifanya nimkumbuke kaka wenu alinikomeshaga akanibadilishia psswrd msukule yule nimeomba msamaha kwa maandishi booklet mbili full 🤣🤣🤣 kama vile Marekani anavyoomba msamaha kwa Japan kwa lile bomu mpk leo. Ndo akaanza kunitajia herufi moja moja ya passwrd, kila mwezi anataja herufi moja eti 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣.
 
[emoji1787][emoji1787] My wiii huyu kaka angu alikukomesha hivi ni naniii me nimeshamsahau uzeee huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…