Makapuku Forum

Makapuku Forum

Asante auntie yangu mzuri mzuriii, asante kwa kuwa pembeni yangu [emoji3059][emoji120] nakupenda mnooooo

Hapo kwenye sina jambo dogo [emoji1787][emoji1787] nimecheka auntie leo bwana napokea miamala tu na hapa nimeshafanyiwa booking ya kutolewa dinner na dada angu baadae tutaonana [emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wala usiwaze Auntie...
Dakika kadhaa utaona ka kitu..

Nipo Nalisha ng'ombe Manduu na Vizee kwanza[emoji1]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wala usiwaze Auntie...
Dakika kadhaa utaona ka kitu..

Nipo Nalisha ng'ombe Manduu na Vizee kwanza[emoji1]
Auntie nakuelewa sina wasiwasi na wewe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ukimaliza kulisha ngombe hapo auntie unajilia zako manyama na mbege jamanii nakutamani sanaaa
 
Auntie Atoto njooo ule cake
IMG-20231227-WA0000.jpg
 
Back
Top Bottom