Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Hahahahaha, ok vzr sanaMkuu una cheka ya kifedha sana, unanikumbusha mwaka 1982 nilipouza ng'ombe zangu na kulipwa shilingi 1,825 nilikuwa nacheka kama wewe ufanyavyo...
Hahahaha...
Hatimae ulifufuka🤣Heri ya mwaka mpya ...
Hii S23 ultra naitamaniii
Kazi iendelee mpenz.makaveli10 nakusalimu kwa jina la jamhuri
Isiwe dar.. Jua na joto la dar.. Kisha MFANYANE MCHANA wa saa 9 😂🤣🤣
Ingekuwa hivi kwa binadamu, wanaume wengi tungekuw ni wapiga PULI.
HahahahaIsiwe dar.. Jua na joto la dar.. Kisha MFANYANE MCHANA wa saa 9 😂🤣🤣
Hahahaha..ndio maana watu wanatoroka kazini..wakienda lunch moja kwa moja kupiga game
NyumbaniHii Week end ya Furahi Day mixer Mapinduzi Day ...mnailia wapi ?
Safi sanaNyumbani
Mna moyo sana kwakweliIsiwe dar.. Jua na joto la dar.. Kisha MFANYANE MCHANA wa saa 9 😂🤣🤣
Nazingatia🤣🤣
Karibu sanaSafi sana
Ndio zako eeh!Hahahaha..ndio maana watu wanatoroka kazini..wakienda lunch moja kwa moja kupiga game
HahahahaNdio zako eeh!
Ahsante sanaKaribu sana