Makapuku Forum

[emoji1268] MOSES PHIRI [emoji3591] POWER DYNAMOS
.
Aliyekuwa Mshambuliaji wa Simba, Moses Phiri yeye anakwenda kwa Mkopo katika klabu ya Power Dynamos ya Zambia ambayo atakuwa huko hadi mwisho wa msimu.
.
Kabla yakupatwa na majeraha yaliomuweka nje ya uwanja kwa kipindi kirefu Phiri alikuwa chaguo la kwanza ndani ya kikosi. Uongozi wa Simba unaamini Phiri atakaporejea kikosini atakuwa imara zaidi na kurudi katika makali yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…