Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
HahahahahahaView attachment 2897227
Atoto makaveli10 Lee mlisema sijui mstaafu sijui kikohozi, nini na nini valentine itakuwa kama ya mwaka jana, kiko wapiiiiii. Ndugu zanguni kwa macho yenu mmeona nimeambiwa Karibu nami bila hiyana nimekaribia, nimevua na viatu kabisa na sivaagi soksi. Kiko Wapi nawauliza tena, Kiko Wapi
HahahahahaKaka we jichanganye ukiitiwa fursa usikimbilie, huenda ww ndio fursa yenyewe..
Tunasubiri ule za kichwa sisi tuko hapa hapa 🤣
Yaw yaw... Vikohozi vya cannabis
Shida ya maki Makiwendo ni mkorofi 😂Hebu subiri kwanza!! Hivi vikohozi ulijuaje?
Mie niko na mzee mwenzangu makaveli10 hatuna taabu na mtu😜
....na kwanza ndiyo kitabu kimeanza, muvi ya kihindi hii, mtasubiri sana maana stelingi yuko kwenye maua anaimba kuchi otahe mamaa aminaeeee,we-selemaniweeee, seleKaka we jichanganye ukiitiwa fursa usikimbilie, huenda ww ndio fursa yenyewe..
Tunasubiri ule za kichwa sisi tuko hapa hapa 🤣
Hahahahaha....na kwanza ndiyo kitabu kimeanza, muvi ya kihindi hii, mtasubiri sana maana stelingi yuko kwenye maua anaimba kuchi otahe mamaa aminaeeee,we-selemaniweeee, sele
....uvumilivu unahitajika sana , hasa kipindi hiki cha mvua na kukosekana kwa umeme wa tanescoHahahahaha
Sawa sawa mkuu....uvumilivu unahitajika sana , hasa kipindi hiki cha mvua na kukosekana kwa umeme wa tanesco
Basi mkuu, kama una jambo lako, hesabia umepata. Tunaanza kumpamba zaidi ya MWISHO MWAMPAMBA.....hapana, Maki ni mtu mwema sana, endelea kumwambia hivi ili jambo langu lifanikiwe mdau
Mtoto idi kazua balaa.....na kwanza ndiyo kitabu kimeanza, muvi ya kihindi hii, mtasubiri sana maana stelingi yuko kwenye maua anaimba kuchi otahe mamaa aminaeeee,we-selemaniweeee, sele
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kaka we jichanganye ukiitiwa fursa usikimbilie, huenda ww ndio fursa yenyewe..
Tunasubiri ule za kichwa sisi tuko hapa hapa 🤣
Hahahahaha🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Muache usimshtue! Akitema bungo tunae.
Naona unanyapia kimya kimya, au wewe ndio mstaafu?Hahahahaha
Hahahahaha mimi sio mstaafu na wala simjui..na sinyapii popote Rafiki..kuwa na amanNaona unanyapia kimya kimya, au wewe ndio mstaafu?
Mmmmmmh! Sawa sijui kusoma lakini ndiyo hata picha niigeuze?Hahahahaha mimi sio mstaafu na wala simjui..na sinyapii popote Rafiki..kuwa na aman
....umeuliza swali langu, ujue nilikosa kabisa hamu ya kula wiki hizi 🖐 baada ya kuona papa mukulu anafanya manjonjo ya Clatous Chama.Naona unanyapia kimya kimya, au wewe ndio mstaafu?
Inawezekana pia kukosea kupo ...Mmmmmmh! Sawa sijui kusoma lakini ndiyo hata picha niigeuze?