Makapuku Forum

Na vile yuko kwa mstaafu masikini. Pole sana.
...hii inanipa maswali sana ujue, maana kuna namba nilipewa na ndugu yangu kabisa kwamba ndiyo namba yenyewe, nikaipiga haipokelewi kuja kugundua kumbe nilipewa namba ya boti limepaki pale Magogoni karibu na chuo cha CCM Kivukoni. Lee dunia ndogo sana hii ndugu yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…