Makapuku Forum

Rais Samia Suluhu Hassan amechangiwa shilingi milioni 120 kwa ajili ya kuchukua fomu ya kugombea Urais mwaka 2025.

Fedha hizo zimechangwa katika kongamano lililowakutanisha wanawake kwa ajili ya kumpongeza kwa kuwa kinara katika nishati safi ya kupikia.
 
Big Boss Joe..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…