Makapuku Forum

Makapuku Forum

Ukraine imekataa pendekezo la Papa Francis la kufanya mazungumzo na Urusi ili kumaliza mapigano yaliyodumu kwa zaidi ya miaka miwili ikisema Kyiv haitajisalimisha kamwe.

Papa Francis amesema kutokana na hali kuzidi kuwa mbaya kwa pande zote “mtu anapaswa kuonyesha ujasiri wa kusalimu amri kwa kuinua bendera nyeupe na kujadiliana.”View attachment 2931179
Kiev iachane na ubishi na ukaidi.
Zelensky aangalie hali za wananchi wake.
Watu wa Ukraine wamechoshwa na vita, "Asiyekubali kushindwa siyo mshindani"
 
Rais Samia Suluhu Hassan amechangiwa shilingi milioni 120 kwa ajili ya kuchukua fomu ya kugombea Urais mwaka 2025.

Fedha hizo zimechangwa katika kongamano lililowakutanisha wanawake kwa ajili ya kumpongeza kwa kuwa kinara katika nishati safi ya kupikia.View attachment 2931181
Wanachota maji kwenye kibwawa cha maji ya kunywa wanaenda kupoza chumvi ya maji ya bahari.
Akili ni nywele
 
Koka moto tuuchemshe [emoji1787][emoji1787]
Haya huo hapo.
Uchemshe mkuu [emoji23][emoji23]
152.jpg
 
Back
Top Bottom