Huu uzi raha sana
Salama kabisa,Shangazi,nafurahi kuona tuko active ktk uzi wetuMambo poa kabisa we mzee habari yako
Hahahahaha..jamani shangazi,nimechochea nini mie humu ?Ila we Mzee ni mchochezi mnoooooo
Asante kwa gazetiMagazeti ya leo April 20, 2024View attachment 2968875
Ubingwa wachukue na tufungwe mara mbili inaumaa
Kwa haya matokeo hali itakua mbaya tuHabari za jioni makapuku Makiwendo moudgulf Makiwendo Atoto Shunie Tresor Mandala Mideko Lee makaveli10 Carasco Putin Makiwendo
Salama kabisaHabari za jioni makapuku Makiwendo moudgulf Makiwendo Atoto Shunie Tresor Mandala Mideko Lee makaveli10 Carasco Putin Makiwendo
Makiwendo umei'tag mara tatu Poker...Habari za jioni makapuku Makiwendo moudgulf Makiwendo Atoto Shunie Tresor Mandala Mideko Lee makaveli10 Carasco Putin Makiwendo
😂 Maki how was ur day?Makiwendo umei'tag mara tatu Poker...
Si ubarikiwe sana....