Makapuku Forum

Mahakama ya kijeshi nchini DR Congo imewahukumu kifo wanajeshi nane wakiwemo maafisa watano kwa tuhuma za kukimbia vita na kutoheshimu sheria za kijeshi wakati wakipambana na waasi wa M23.

Mwendesha mashtaka amesema makamanda hao walishindwa kuwajibika kwenye uwanja wa mapambano karibu na Mji wa Sake wilayani Masisi eneo lililo Magharibi mwa Mji wa Goma ambako M23 wanaendelea kufanya mashambulizi.
 
Mmmmh!
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Aah sasa walienda jeshi kufanya nini!!
 
Aheri ya nusu shari kuliko shari kamili
 
Tahadhari muhimu wakati huu
 
Ukisaliti jeshi jiandae kwa kifo
 
Nimepokea Poker.
Na huyo Atoto Bikomwe salamu zimemfikia.. [emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…