Makapuku Forum

Makapuku Forum

Mahakama ya kijeshi nchini DR Congo imewahukumu kifo wanajeshi nane wakiwemo maafisa watano kwa tuhuma za kukimbia vita na kutoheshimu sheria za kijeshi wakati wakipambana na waasi wa M23.

Mwendesha mashtaka amesema makamanda hao walishindwa kuwajibika kwenye uwanja wa mapambano karibu na Mji wa Sake wilayani Masisi eneo lililo Magharibi mwa Mji wa Goma ambako M23 wanaendelea kufanya mashambulizi.
Screenshot_20240504_155317_InstaPro%20.jpg
 
Hivi itakuwaje siku moja, umekaa zako, mara huyo mwanao wa miaka mitatu anayeitwa Junior anaanza kukwambia, mama unajua mimi zamani nilikuwa naitwa John.

Nilikuwa napenda sana kucheza mpira. Rafiki yangu alikuwa anaitwa Vincent, yeye alikuwa mchokozi sana. Nyumba yetu iliungua moto mimi nilikuwa nimelala nikafia humo.

Nimemiss sana wazazi wangu wa zamani, lini utanipeleka niwaone.. katika hali hiyo utafanyaje.Eti utafanyaje..!? Ikitokea hivyo hautakuwa mwenyewe. Kuanzia mwanzoni mwa miaka 1960, Chuo Kikuu cha Virginia huko Marekani kimekuwa kikifuatilia na kurekodi matukio ya namna hiyo.

Mpaka sasa Chuo hicho kimekusanya taarifa za zaidi ya watoto 2,200 ambao wanakumbuka matukio ya maisha ya zamani.

Katika matukio mengi, watoto ambao wanakumbuka matukio yaliyotokea miaka mingi nyuma, wengi wanatoa taarifa sahihi ambazo wataalamu wanapozifuatilia wanakuta kweli mtu wa namna hiyo alikuwepo na hata namna alivyofariki ni kama alivyokuwa anaeleza yule mtoto.

Bado wataalam hawajajua vizuri ni nini kinachosababisha hali hii itokee kwa baadhi ya watoto, kwa sababu huwa inatokea hata kwenye watoto kutoka katika familia ambazo hazina imani ya umwilisho(reincarnation).

Wataalam wanashauri inapotokea hali kama hiyo usimchokonoe zaidi mwanao ili kueleza kwa sababu hiyo inaweza kusababisha mtoto kutoa majibu ya kutunga.

Na kama itatokea ana sisitiza anataka umpeleke kwa wazazi wake wa zamani, mwambie hayo yalikuwa mambo ya zamani yameisha pita...vipi ikikutokea utafanyaje utakwenda kutambika au utakanyaga mafuta na kukemea mapepo....!?View attachment 2980585
Mmmmh!
 
Mahakama ya kijeshi nchini DR Congo imewahukumu kifo wanajeshi nane wakiwemo maafisa watano kwa tuhuma za kukimbia vita na kutoheshimu sheria za kijeshi wakati wakipambana na waasi wa M23.

Mwendesha mashtaka amesema makamanda hao walishindwa kuwajibika kwenye uwanja wa mapambano karibu na Mji wa Sake wilayani Masisi eneo lililo Magharibi mwa Mji wa Goma ambako M23 wanaendelea kufanya mashambulizi.View attachment 2980596
😂😂😂😂😂
Aah sasa walienda jeshi kufanya nini!!
 
Boti zinazofanya safari zake kutoka Dar es Salaam kwenda Zanzibar zimesitisha huduma hiyo kufuatia hali mbaya ya hewa.

Mwananchi Digital imefika eneo la Feri jijini Dar es Salaam na kushuhudia abiria wakirudi baada ya mamlaka kutangaza kuhairishwa kwa safari hizo.

Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) tangu juzi Alhamisi Mei 2, 2024 ilitahadharisha kuwapo kwa kimbunga hidaya ambacho kinaikaribia Pwani ya Bahari ya Hindi hivyo kuwataka watumiaji wa bahari hiyo kuchukua tahadhari.
View attachment 2980591
Aheri ya nusu shari kuliko shari kamili
 
Wafanyabiashara Soko la Mnarani maarufu Loliondo wa Halmashauri ya Mji wa Kibaha mkoani Pwani wameshindwa kukunjua miavuli wanayoitumia kujikinga na jua na mvua wakati wakiuza bidhaa zao.

Hii ni kutokana na upepo mkali ulioanza usiku wa kuamkia leo Jumamosi Mei 4, 2024 unaotokana na Kimbunga Hidaya.

"Tunaogopa isije ikabebwa na upepo, tumechimbia miavuli yetu na hatuikunjui ngoja tuangalie hali itakavyokuwa baadaye," amesema Elizabeth Maendaenda.

Yasini Hassan amesema hofu waliyonayo ni iwapo mvua zitaanza kunyesha na hali ya upepo iliyopo.

"Siku zote kukiwa na mvua miavuli yetu huwa inatusaidia kujikinga lakini kwa leo upepo ni mkali sijui mvua ikija tutafanya nini," amesema.

Noel Msamati amesema uwepo wa kimbunga umesababisha baadhi ya wafanyabiashara kushindwa kufika kuuza bidhaa zao wakihofia hali iliyopo.
View attachment 2980588
Tahadhari muhimu wakati huu
 
Mahakama ya kijeshi nchini DR Congo imewahukumu kifo wanajeshi nane wakiwemo maafisa watano kwa tuhuma za kukimbia vita na kutoheshimu sheria za kijeshi wakati wakipambana na waasi wa M23.

Mwendesha mashtaka amesema makamanda hao walishindwa kuwajibika kwenye uwanja wa mapambano karibu na Mji wa Sake wilayani Masisi eneo lililo Magharibi mwa Mji wa Goma ambako M23 wanaendelea kufanya mashambulizi.View attachment 2980596
Ukisaliti jeshi jiandae kwa kifo
 
Nakusalimu sana Makiwendo popote utapomuona Atoto mwambie amfikishie Shunie salamu zangu nampenda sana.

Uhali gani moudgulf nimatumaini yangu umzima wa afya hofu ni kwa Mideko maana sikuiz yupo busy sana kama Lee

Mshua master Tresor Mandala vp weekend inasemaje au imepooza kama uji wa Carasco Putin

Siku zote mshamba_hachekwi sasa sielewi kwanini Depal na udugu wake cocastic wanamcheka mtumishi Saint Anne

Mzee mwenzangu Grahams msalimie sana Lovelovie mwambie niko mwanza hapa pspf nimetoka kupokea kiinua mgongo changu.
Boss wangu Mjep nakusabahi popote ulipo nashkuru kwa offer ya full tank ya mafuta.

Papa mobimba raraa reree ukifa hauozi mkuu. Wasalimie wale wana wote wa misifa camp Kelsea
Nimepokea Poker.
Na huyo Atoto Bikomwe salamu zimemfikia.. [emoji2]
 
Back
Top Bottom