Makapuku Forum

N
Ndio
Ndiyo Maana madhehebu mengine baadhi ya vitabu wameviondoa! Mimi nisimuonee wivu fulani wangu kweli, bora anidhuru tu!
Nyingine ilikuwa tar 8, 8, 88.
Nilifanya kitu furani cha kukumbuka siku hiyo.
Ispokuwa siku ya sikukuu ya saba saba yaani 7.7. 77 waliokuwepo waliboreka sana.
Hata siku ya juni 6. 66 ilikuwa ni ya Kikapuku sana.πŸ˜ŽπŸ˜ŽπŸšΆβ€β™‚οΈπŸšΆβ€β™‚οΈπŸšΆβ€β™‚οΈπŸšΆβ€β™‚οΈ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…