Makapuku Forum

Sasa shemeji kwani ulifichwa wapi?
...unadhani hata nilifichwa basi, sikufichwa. Nilitingwa na mambo ya kubeti, maana msimu huu nimeona nijipumzishe na kilimo na nimeamua kuwa afisa ubashiri. Kutwa nashinda kwenye betting joints, juzi kati wakakwara simu yangu na namba sina. Tafadhari mwambie aniandikie text hata ya kuuliza kama nimekula, mambo za kubet hayajulikani
 
Aiseeeeh!!!🙆🙆🙆
 
🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…