Yuko chumba cha habari anatuandalia magazeti ya kesho
Nilikuita uje ushuhudie maajabu🤣Mimi apaa auntie [emoji7]
Nilikuita uje ushuhudie maajabu[emoji1787]
Kikuu anatafuta mchumba.
Nilimfumania kwenye uzi fulani anatafuta mchumba 😂😂😂Nimeona anakutongoza auntie [emoji1787][emoji1787][emoji1787] huyo siwezani naye tena acha nimalize uzee wangu vizuri na wazee wenzangu
Ulifichwa wapi? Jambo tunalo.Hamjambo humu
Nilimfumania kwenye uzi fulani anatafuta mchumba [emoji23][emoji23][emoji23]
Nikakwambia nitamsemea, akasema kwake hupindui eti!!