Makapuku Forum

Wapendwa wa Makupuku na Wana JF wote.......Salamu...

Kwa moyo wa majonzi na simanzi kubwa nawataarifu juu wa mwenzetu Shunie ambaye amempoteza Baba yake Mzazi...

Msiba umetokea leo saa tatu Jumatano Asubuhi....Taratibu za msiba, mazishi taarifa italetwa hapa..

Kila mmoja kwa namna yake anaweza kumpa pole mwenzetu huyu...

Kuhusu Rambirambi na mengineyo...Itafanyika vile Mtakavyoshauri pia...

Bwana ametoa, Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe...
 
Makiwendo
Yaani niko busy nasindwa hata kushiriki vzr kumfariji na hapa ndo narudi dear nitulie kidogo
Weka MMU then tuweke mkeka kule italua vzr pia
Kanitaarifu ila nilishindwa hata kumpigia simu maana
Mungu awe mfariji wake

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
reymage
MMU naweka jukwaa gani Maa?
Maana kuweka thread hadi nishasahau...

Kama utaweza kuupeleka kule naomba ufanye hivyo Dear...Itakuwa njema sana...

Mungu na amtie nguvu sana Shunie wetu..
 
reymage
MMU naweka jukwaa gani Maa?
Maana kuweka thread hadi nishasahau...

Kama utaweza kuupeleka kule naomba ufanye hivyo Dear...Itakuwa njema sana...

Mungu na amtie nguvu sana Shunie wetu..
Kipenzi Mahusiano kule ndo wanawaekaga
Mimi kwa sasa niko very occupied hata kushika simu mara chache sana na kuna changamoto ya network mnoo
Poleni sana mlioko Dar
Nendeni mkamsapoti

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Habari nzito sana hii kwa member mwenzetu. Pole sana kwa Shunie
Ninamuombea faraja kwenye kipindi hiki
 
Mungu akawasimamie katika hiki kipindi kigumu, mbele yake nyuma yetu. Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un pole sana Shunie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…