Makapuku Forum

Makapuku Forum

Magazeti ya leo September 21, 2024.
 

Attachments

  • IMG_4821.jpeg
    IMG_4821.jpeg
    1.5 MB · Views: 2
Wapendwa wa Makupuku na Wana JF wote.......Salamu...

Kwa moyo wa majonzi na simanzi kubwa nawataarifu juu wa mwenzetu Shunie ambaye amempoteza Baba yake Mzazi...

Msiba umetokea leo saa tatu Jumatano Asubuhi....Taratibu za msiba, mazishi taarifa italetwa hapa..

Kila mmoja kwa namna yake anaweza kumpa pole mwenzetu huyu...

Kuhusu Rambirambi na mengineyo...Itafanyika vile Mtakavyoshauri pia...

Bwana ametoa, Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe...
Aisee ndio naingia hapa niko busy sana.nikitulia nitawaona
 
Back
Top Bottom