Makapuku Forum

Siku za kazi zinategemea na pale unapopatia mkate wako, kwa wengi Ijumaa ndo mwanzo wa weekend na kama kawaida wapo wale waotufanya tunajisikia vizuri kwa kuona sura na maandishi yao, unajua nataka kusema nini. Wikend njema wadau.


View: https://www.youtube.com/watch?v=S4_q_c9z_7Q
Wale uzao wangu tunakumbuka enzi hizi, waliufanya muziki utupe mwonekano wa kitajiri na walkman zetu huku tukiibiana wapenzi kwa kuazimana tape/kanda za radio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…