Makapuku Forum

Makapuku Forum

Aah acha uhuni bwanaaa, kweli hujui!
Mi huwa na sign in kwa kutumia desktop view hapo namtafuta mtu ninaye mtaka alafu namfollow. Sijui nimeeleweka? [emoji2] [emoji111]
Nafikiri ukitumia App ya Jf haiwezekani hadi utumie browser.
hapo nimewaelewa mm natumia app ya jf kesho nitaingia kwa desktop niwafollow wote na hiv nikiffollow habar zao zinakuwa zinakuja automayically
 
Back
Top Bottom