Makapuku Forum

Kile kithread nilikuwa MMU sasa wametengeneza fitina ndo wamekileta huku chit chat kwa Citys Guys ili wapunguze speed ya Makapuku
Hata views ni za uongo tu
Mods noma sana





................................
Sasa hivi tutafanya hivi...... Mtu akiweka uzi sehemu unatuambia kisha wote tunahamia huko huko mpaka waone aibu kutufitini
 
simtaji ng'o na kama una hasira nenda kajiue.... Hawa wakongwe hawatuwezi hata wafanyaje.. Tutapigana kwa udi na uvumba na kamwe hawatatufikia.. Lakini i can't stop loving you Jimena
Mkuu nimejuona nyumba ya jirani ulikuwa unawapa nguvu
[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]
.................................
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…