Nenda page ya 1 usome post #3 kuna maelezo yoteMakapuku mnatisha...nakua member rasmi
Karibu KAPUKUMakapuku mnatisha...nakua member rasmi
anhaa basi sawa...Ushamtaja pale juu na mshana kashakwambia msimu wa kafara huu
Nipe pongeziWakuu nilikuwa nasubiria ya 6000
Acha kuzingua wewe.It turns out yule ni mke wa kapuku mmoja humu so the search is still on
Ulale salamaNaombeni mniruhusu nilale
Hata mimi nilikuwa nasubiria sana hiyo 6000.Wakuu nilikuwa nasubiria ya 6000
Hongera sanaaa[emoji642] [emoji646] [emoji646] [emoji646]
haya kazana tu..Emmyguy kakupiga bao la mkonoIt turns out yule ni mke wa kapuku mmoja humu so the search is still on
Karibu uoge like[emoji106]Makapuku mnatisha...nakua member rasmi
Thank youHongera sanaaa
Lala salama mkuuNaombeni mniruhusu nilale
EMMYGUY usiku sasa hivi kulizia watu[emoji124]Wapiii damtanzania