Makapuku Forum

Tuko vizuri sumbai mpaka tunafuzu euro 2016 hatujapoteza mchezo hata zile za kirafiki
Na naamini hakuna timu ya kutusumbua euro mwezi wa 6
Ha haa.... Haya mkuu. Mimi ni the three lions....
Daah naamin mwaka huu tuna kizaz kizuri cha kina dele alii...Kane..rose....
Wanaweza kututoa kimasomaso
 
Tuko vizuri sumbai mpaka tunafuzu euro 2016 hatujapoteza mchezo hata zile za kirafiki
Na naamini hakuna timu ya kutusumbua euro mwezi wa 6
Ila mna habari kuwa huu mchezo ni ibada za kuzimu? [emoji15] [emoji22] [emoji26] [emoji144]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…