Makapuku Forum

Makapuku Forum

Tuko vizuri sumbai mpaka tunafuzu euro 2016 hatujapoteza mchezo hata zile za kirafiki
Na naamini hakuna timu ya kutusumbua euro mwezi wa 6
Ha haa.... Haya mkuu. Mimi ni the three lions....
Daah naamin mwaka huu tuna kizaz kizuri cha kina dele alii...Kane..rose....
Wanaweza kututoa kimasomaso
 
Back
Top Bottom