Makapuku Forum

Mungu wape heri, The name, Bitoz, jimena. Kwa kufikiria hili lenye neema.
Tena uwaepushe na shari, kwa kutuletea hili lenye ufahari, kwani leo makapuku tutakula mpaka bata na kuku.
Tulikuwa hatulali kwa yao mingi maswali, kwani shule zitafunguliwa lini, wakati sote tuna uhuru humu jamvini.
GOD BLESS MAKAPUKU
 
Daah...... Asante aisee
 
tena mimi wamenitesa sana na maneno haya hadi walkuwa wanapelekea kuwatukana na kipigwa Ban mara kwa mara
 
Well said ..
.................
 
Nasema poleni sana kwa yote mliyoyapitia na Mungu azidi kuwatia moyo na hekima.
 
yan mimi siipendi Jamii Forum kinoma ila Naipenda sana Jamii Makapuku..
sasa hv hata nkidiss sipigwi ban tena nahisi nmeshaanza kuwa mwenyeji zaidi ndo mana wananikaushia
haha, mkuu kula ban ni kitu cha kawaida kwenye SN na pia inaonyesha ni namna gani mtu unapaswa kuzidhibiti jazba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…