Makapuku Forum

Naona umeingia anga ambayo sio huyu mtoto nimejuana nae kulee baati nzuri ameingia hapa na naomba th name umpe usajili mrembo aggyjay aisee
Hahahahaaaa...... Mkuu, kwani kujuana nae huko ndo kunamzuia yeye kuwa na mimi. Kujuana sio tatizo, ila mmejuana katika mazingira yapi [emoji3] [emoji3]
Mtoto mwenyewe ndo amenikubalia sasa, ataanzaje kuniacha kwa mfano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…