Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahhaaha mbwa ukimjua jina lake hakusumbui.....Haya maneno huwa yanawaponza wengine ujue
Inashawishi kabisaDuhhh hii mvua hiiii balaaaa!!!!!!!
Wewe Hahahahaha ngoja akusikieHahahhaaha mbwa ukimjua jina lake hakusumbui.....
Labda tumuulize Jimena![]()
Mzee wa Dunderhead hajapita leo?
......................
Wifi yako hawezi kuwa kuwadi labda aniulize kwanza.Nimefurahi sanaaa.... Karibu kwenye familia, kama una rafiki yako umlete bado kina youngblood wako lindoni
jifariji tu hujui huko nje kuna mweweBado nipo nipo kuku Wangu Manati ya Nini?[emoji133] [emoji133]
jamaa amekuwa creative japo ni kapuku!Kiukweli kutoka moyoni nimeikubali hii sehemu maana watu wanachangia, tupia like na mambo mengine kama hayo....heshima kwako uliefikiria kuanzisha forum hii maana hata kapuku mimi najiona next level......!
ndo nani ?![]()
Mzee wa Dunderhead hajapita leo?
......................
Heshima zote kwa Bitozjamaa amekuwa creative japo ni kapuku!
acha utani basi...wewe jana wote tulikuwa masingle leo ushapata tayari!!Asante Mkuu, huyo ndo wifi yako.
Mwewe wapi wakati hapa nimeatamia kabisa,ficha kabisa mbavuni,hahhahhhahha nachati kwa remotejifariji tu hujui huko nje kuna mwewe
Ngedere Ungabundo nani ?
simama upate hata kiroba moja hapo shola!Napita tu mimi
Situmii hiyo kitusimama upate hata kiroba moja hapo shola!
Haya Hongera nilijua uko mkavu ...Mama watoto amekaba Leo, anasema nisitoke mvua hii. Si unajua tena.
Sitaki anune baby wangu