Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,056
Hapa ni mpaka kielewekeAfu hawa majamaa tunawapa umaarufu mavi alafu heshima zetu hawatupi, sasa tunajipa heshima wenyewe kwa wenyewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa ni mpaka kielewekeAfu hawa majamaa tunawapa umaarufu mavi alafu heshima zetu hawatupi, sasa tunajipa heshima wenyewe kwa wenyewe
Ndo mana muda Fulani simu yangu ilikua ina ruka ruka.... Hahahahaaa.. Kazi nzuri mkuuMakapuku wataandama....
Mbona alishajiribu mod m1 kuufuta nikapiga kelele ukarudishwa
Au hujaona bado?
Ilikuwa asubuji
Kama vipi wekaFull kuwapotezea kwa sasa, kule kwa nukta vipi?
Tutaendelea kesho kuleFull kuwapotezea kwa sasa, kule kwa nukta vipi?
Au tunaenda lakini tunakubaliana kuwa wote tukamtaje mtu flani kisha tunasepa zetuBIG NO
Tuwe tunawapotezea tu thread zao mfanNAMPENDA FULANI.....Team makapuku tunashit tu na kujaa kwenye thread zetu wenyewe
Basi Makapuku ndio zetuuuYan toka nizaliwe humu JF sijawahi kupata malike kibao km leo
Malike,macomment,matrophy na madude yote mnayoyafaham leo nnayo ya kumwaga
Asante sanaaaaa
Halafu na yale magoma yao hatuyashobokei...Now n kuwakaushiaa tu kijanjaaa tu mkuu
WaudhiiiWana kauli zao kule...
unaomba ushauri utasikia"be the first to reply..
Makapuku damu changaa Mazeee wakae pemben no shoboo tokaa kwetuHalafu na yale magoma yao hatuyashobokei...
Na makapuku ladies msiwalegezee...wakiwafuata inbox mnawapublish...Au tunaenda lakini tunakubaliana kuwa wote tukamtaje mtu flani kisha tunasepa zetu
Nasi tutalike zako kadri utakavyopostNimelike comments za makapuku wote kuanzia page 1 to 10, haikuwa kazi raisi ngoja nipate ghahawa kidogo.
Wanazingua kinoma utasikia subiri ukue wanaboa kinomaWana kauli zao kule...
unaomba ushauri utasikia"be the first to reply..
Akitupa ushirikiano tu anakula likesLikes zenyewe buree but watu wanabanaa utafikiriaa n pesaa ndo maana makapuku tumeamuaa kuzitoaa kwa yeyotee mwenyee kuletaa ushirikiano nasi
Kamaa hv mkuu[emoji3]Akitupa ushirikiano tu anakula likes
Mkuu hatuwataji wala nini, sisi ni kusapotiana tuAsee hpa ni full malike najiona km The Boss wa kule kwa wenzetu maharufu
Mara ooh shule hazijafunguliwa tuWanazingua kinoma utasikia subiri ukue wanaboa kinoma
Wanaboaa kinomaaaWanazingua kinoma utasikia subiri ukue wanaboa kinoma