Kuanzia sasa utakuwa MISS MAKAPUKU naona makapukuz wanajigonga sana kwakoUnanitisha sasa. Liwalo na liwe
Naona maagizo hayajafatwa humu. Natumbua majipu sasaSawa mkuu.....
Hapa ndo mpo nyumba ya kupanga sasa alafu mmetoka nje wenyewe na vitaulo vyenu... Majirani nasisi hao kushuudia... EnheeeUnanitisha sasa. Liwalo na liwe
achana nae njoo kwangu bibieUnanitisha sasa. Liwalo na liwe
Nafikiri ujana waje amekula gerezanimkuu hamna mtu anayependa kuzeeka bhana ... huenda ujana ulimpita kushoto
Jamaa bado kabambia...na ukoda pia...Ngoja kwanza nimlie timing.
Wakileta mchezo haya yatawakuta
Basi mama nimetulia,si unajua kwako sifurukuti[emoji27] [emoji27] [emoji27]Unanitisha sasa. Liwalo na liwe
Wacha nilike. Ila Na wewe usisahau kulike kwangu. Like hata kama sijapost.Maoni yangu hii MAKAPUKU FORUM ingeboreshwa zaidi kwa kuwa sticky au iwekewe jukwaa lake
Wapare chungu chenu tishio
[emoji15] [emoji15] [emoji15]achana nae njoo kwangu bibie
Mzee mimi ndo founderMaoni yangu hii MAKAPUKU FORUM ingeboreshwa zaidi kwa kuwa sticky au iwekewe jukwaa lake
Vitu vimenatanaJamaa bado kabambia...na ukoda pia...
Usioneshe kumzimia sana atakupanda kichwani huyoBasi mama nimetulia,si unajua kwako sifurukuti[emoji27] [emoji27] [emoji27]
kwa lipi mkuu?Wachaga wanajua hilo
ooosshhhh holy shiiittt yani ukinirembulia ivo nakua absent minded kabisaaaaa[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Nitaanza kulike mpaka like ulizo like.Wacha nilike. Ila Na wewe usisahau kulike kwangu. Like hata kama sijapost.
Tafuta wa kukupanda kichwani na wewe [emoji23]Usioneshe kumzimia sana atakupanda kichwani huyo