Makapuku Forum

Makapuku Forum

Ngoja kwanza nimlie timing.
Wakileta mchezo haya yatawakuta
5649bc0179b53048277dbde1f7392277.jpg
Jamaa bado kabambia...na ukoda pia...
 
Maoni yangu hii MAKAPUKU FORUM ingeboreshwa zaidi kwa kuwa sticky au iwekewe jukwaa lake
Mzee mimi ndo founder
Makapuku hatupendwi na haiwezi fanywa sticky...siku ya 1 tu mods waliipiga kufuli ikiwa tyr na views 777 ....tukaanza upya
Tuendelee tu hivihivi hakuna tatizo
Ipo swaaf tu
Sticky huwekwa thread za wakongwe
Tukichanganywa na wakongwe tutakuwa tunatukanana tu
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
.......................
 
Back
Top Bottom